sw_tn/2sa/23/18.md

24 lines
506 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abishai ... Seruya.
Haya ni majina ya wanaume
# kapteni juu ya watatu
Inamaana Abishai alikuwa kiongozi wa wale watatu walikwenda kumchukulia Daudi maji.
# watu mia tatu
"watu 300"
# alitajwa pamoja na wale askari watatu.
"Watu walimtaja walipozungumzia wale mashujaa zaidi watatu"
# hakuwa maarufu zaidi ya wale watatu?
Swali linasisitiza jinsi alivyokuwa maarufu.
# wale mashujaa watatu
Hii inarejerea kwa Yoshebu Bashebethi, Eleaza na Shama. Abishai hakuwa maarufu kama hawa askari hawa.