# Abishai ... Seruya. Haya ni majina ya wanaume # kapteni juu ya watatu Inamaana Abishai alikuwa kiongozi wa wale watatu walikwenda kumchukulia Daudi maji. # watu mia tatu "watu 300" # alitajwa pamoja na wale askari watatu. "Watu walimtaja walipozungumzia wale mashujaa zaidi watatu" # hakuwa maarufu zaidi ya wale watatu? Swali linasisitiza jinsi alivyokuwa maarufu. # wale mashujaa watatu Hii inarejerea kwa Yoshebu Bashebethi, Eleaza na Shama. Abishai hakuwa maarufu kama hawa askari hawa.