sw_tn/2sa/21/18.md

24 lines
569 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa baada ya haya
Kifungu kinaonesha mwanzo wa sehemu inayofuata
# Gobu
Hili ni jina la mji.
# Sibekai... Safu... Elhanani mwana wa Jari... Goliathi
Haya ni majina ya wanaume.
# Muhushathi... Mrefai... Mbethlehemu... Mgiti
Haya ni majina ya wakundi ya watu.
# Mrefai
Kundi hili la watu walijulikana kwa ushujaa wao mkubwa.
# ambaye mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji
Mtu alipokuwa anafuma nguo alipitisha nyuzi katika ndoano zilizounganishwa katika mti ulioitwa "mti wa mfumaji." Hii inamaana kwamba mkuki wa Goliathi ulikuwa siyo mkuki wa kawaida.