# Ikawa baada ya haya Kifungu kinaonesha mwanzo wa sehemu inayofuata # Gobu Hili ni jina la mji. # Sibekai... Safu... Elhanani mwana wa Jari... Goliathi Haya ni majina ya wanaume. # Muhushathi... Mrefai... Mbethlehemu... Mgiti Haya ni majina ya wakundi ya watu. # Mrefai Kundi hili la watu walijulikana kwa ushujaa wao mkubwa. # ambaye mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji Mtu alipokuwa anafuma nguo alipitisha nyuzi katika ndoano zilizounganishwa katika mti ulioitwa "mti wa mfumaji." Hii inamaana kwamba mkuki wa Goliathi ulikuwa siyo mkuki wa kawaida.