sw_tn/2sa/19/09.md

24 lines
494 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutoka katika mkono wa adui zetu
Hapa "mkono" unamaanisha umiliki.
# kutoka katika mkono wa Wafilisiti
Hapa "mkono" unamaanisha umiliki. Yaani kutoka chini ya miliki ya Wafilisiti.
# kuikimbia nchi mbele ya Absalomu
Hii inamaanisha aliikimbia nchi mbele ya Absalomu.
# Amekufa vitani
"alikufa vitani"
# kwa nini hatuongei juu ya kumrudisha mfalme tena
Hii inamaanisha wanapaswa kuangalia uwezekano wa kumrudisha Daudi kwa kuwa Absalomu alikuwa amekufa.
# mfalme
Inamrejerea Daudi