# kutoka katika mkono wa adui zetu Hapa "mkono" unamaanisha umiliki. # kutoka katika mkono wa Wafilisiti Hapa "mkono" unamaanisha umiliki. Yaani kutoka chini ya miliki ya Wafilisiti. # kuikimbia nchi mbele ya Absalomu Hii inamaanisha aliikimbia nchi mbele ya Absalomu. # Amekufa vitani "alikufa vitani" # kwa nini hatuongei juu ya kumrudisha mfalme tena Hii inamaanisha wanapaswa kuangalia uwezekano wa kumrudisha Daudi kwa kuwa Absalomu alikuwa amekufa. # mfalme Inamrejerea Daudi