sw_tn/2sa/19/03.md

12 lines
338 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama watu waonao haya baada ya kukimbia vitani
Mwandishi analinganisha jinsi askari alivyokuwa akiingia mji kama ambavyo askari wanavyokwenda baada ya kukimbia vita. Hii inamaanisha kwamba walijisikia kuaibika.
# Nyemelea
Kwenda bila kutakawengine wakuone
# Mfalme alifunika uso wake
Hii ni njia ya kuonesha huzuni na maombolezo.