# kama watu waonao haya baada ya kukimbia vitani Mwandishi analinganisha jinsi askari alivyokuwa akiingia mji kama ambavyo askari wanavyokwenda baada ya kukimbia vita. Hii inamaanisha kwamba walijisikia kuaibika. # Nyemelea Kwenda bila kutakawengine wakuone # Mfalme alifunika uso wake Hii ni njia ya kuonesha huzuni na maombolezo.