sw_tn/2sa/18/06.md

20 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# jeshi likaenda nyikani dhidi ya Israel
Hii inamaanisha kwamba walikwenda na kupigana nao vitani.
# eshi la Israeli likashindwa mbele ya askari wa Daudi
Inaweza kuelezwa katika muundo tendaji yaani "Askari wa Daudi walilishinda jeshi la Israeli"
# Machinjo makuu
Tukio ambapo watu wengi waliuawa kwa ukatili.
# Watu elfu ishirini
"20,000"
# watu wengi wakaangamizwa na msitu kuliko upanga
Hapa "msitu" unaelezwa kama ulikuwa hai kuweza kufanya kitendo. "Upanga" inahusu jeshi la Daudi lililoweza kupigana kwa upanga.