# jeshi likaenda nyikani dhidi ya Israel Hii inamaanisha kwamba walikwenda na kupigana nao vitani. # eshi la Israeli likashindwa mbele ya askari wa Daudi Inaweza kuelezwa katika muundo tendaji yaani "Askari wa Daudi walilishinda jeshi la Israeli" # Machinjo makuu Tukio ambapo watu wengi waliuawa kwa ukatili. # Watu elfu ishirini "20,000" # watu wengi wakaangamizwa na msitu kuliko upanga Hapa "msitu" unaelezwa kama ulikuwa hai kuweza kufanya kitendo. "Upanga" inahusu jeshi la Daudi lililoweza kupigana kwa upanga.