sw_tn/2sa/17/21.md

16 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
"Ikatukia." Kifungu hiki kinaonesha tukio jingine katika habari
# vuka juu ya maji haraka
Hapa "maji" yanarejerea Mto Yordani.
# Ahithofeli ametoa mashauri haya na haya
usemi "haya na haya" umetumika mahali pa habari ambayo tiyari msomaji anaifahamu. Hapa inahusu ushauri alioutoa Aithofeli kwa Absalomu katika 17:1.
# Hata ilipofika alfajiri hakuna hata mmoja aliyesalia kwa kutouvuka Yordani
Sentence hii imetumika kusisitiza kwamba wote walivuka mto.