# Ikawa "Ikatukia." Kifungu hiki kinaonesha tukio jingine katika habari # vuka juu ya maji haraka Hapa "maji" yanarejerea Mto Yordani. # Ahithofeli ametoa mashauri haya na haya usemi "haya na haya" umetumika mahali pa habari ambayo tiyari msomaji anaifahamu. Hapa inahusu ushauri alioutoa Aithofeli kwa Absalomu katika 17:1. # Hata ilipofika alfajiri hakuna hata mmoja aliyesalia kwa kutouvuka Yordani Sentence hii imetumika kusisitiza kwamba wote walivuka mto.