sw_tn/2sa/16/20.md

16 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ahithofeli
Hili ni jina la mwanamme
# kulitunza kasiri
Kifungu "kutunza" kinamaanisha kuangalia.
# kuwa kitu kinachonuka mbele ya baba yako
Ahithofeli anazungumia Absalomu kumchukiza baba yake kama vile kingekuwa kitu ambacho kina harufu ya kuchukiza.
# Kisha mikono ya wote walio pamoja nawe itatiwa nguvu
Hapa watu waliomfuata Absalomu wanarejerea kwa kutaja mikono yao. Habari hii itaitia nguvu utiifu wa watu kwa Absalomu na kuwapa hamasa.