sw_tn/2sa/15/35.md

16 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je haunao pamoja nawe Sadoki na Abiathari makuhani?
Daudi anauliza swali hili ili kumwambia Hushai kwamba hayupo peke yake. Yaani kuonesha kwamba "Sadoki na Abiathari makuhani watakuwepo kukusaidia."
# chochote unachosikia... lolote usikialo
Hii ni kuzidisha maana; haimaanishi kila neno asikialo. Inamaanisha mambo muhimu ayasikiayo.
# Ahimaasi... Yonathani
Haya ni majina ya watu.
# Kwa mikono yao
Kifungu "mikono yao" kinarejerea kwa wana na kinamaanisha kwamba wangehudumu kama wajumbe.