sw_tn/2sa/15/19.md

24 lines
483 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Itai
Hili ni jina la mwanamme.
# Mgiti
Hii ni aina ya kabila fulani
# Kwa nini ulikwenda nasi pia?
Swali hili linaonesha kwamba mfalme hakuwa amewaomba kwenda naye.
# Kwa nini mimi niwafanye mtangetange pamoja nasi?
Swali hili linasisitiza kwamba Daudi hakutaka Itai aende.
# Kwa vile uliondoka jana tu
Kutia chumvi huku kunatumika kusisitiza. Itai Mgiti alikuwa amekaa pale kwa miaka kazaa.
# Utiifu na uaminifu na uambatane nanyi.
Hii ni baraka ambayo Daudi anampa.