# Itai Hili ni jina la mwanamme. # Mgiti Hii ni aina ya kabila fulani # Kwa nini ulikwenda nasi pia? Swali hili linaonesha kwamba mfalme hakuwa amewaomba kwenda naye. # Kwa nini mimi niwafanye mtangetange pamoja nasi? Swali hili linasisitiza kwamba Daudi hakutaka Itai aende. # Kwa vile uliondoka jana tu Kutia chumvi huku kunatumika kusisitiza. Itai Mgiti alikuwa amekaa pale kwa miaka kazaa. # Utiifu na uaminifu na uambatane nanyi. Hii ni baraka ambayo Daudi anampa.