sw_tn/2sa/15/05.md

12 lines
384 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye hunyosha mkono na kumshika na kumbusu
Hili ni tendo la salamu ya kiurafiki.
# kwa hukumu
Hii inamaanisha kwamba walimjia mfalme ili kuamua migogoro yao
# Hivyo Absalomu akaiba mioyo ya watu wa Israeli
Hii inamaanisha kwamba Absalomu aliwashawishi watu kumtii yeya zaidi ya Daudi. Hapa mwandishi anaongelea jinsi watu walivyomtii Absalomu kwa kusema aliiba mioyo ya watu.