# yeye hunyosha mkono na kumshika na kumbusu Hili ni tendo la salamu ya kiurafiki. # kwa hukumu Hii inamaanisha kwamba walimjia mfalme ili kuamua migogoro yao # Hivyo Absalomu akaiba mioyo ya watu wa Israeli Hii inamaanisha kwamba Absalomu aliwashawishi watu kumtii yeya zaidi ya Daudi. Hapa mwandishi anaongelea jinsi watu walivyomtii Absalomu kwa kusema aliiba mioyo ya watu.