sw_tn/2sa/14/32.md

24 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Neno hili limetumika hapa kama usemi kusisitiza, na kuthibitisha kinachosemwa baada ya hapa.
# Nilituma neno
Hii inamaana alituma mjumbe.
# Kwa mfalme kusema
Ujumbe kwa mfalme hapa umeandikwa kama Absalomu ndiye alikuwa mzungumzaji. Absalomu alikuwa akimwomba Yoabu kusema ujumbe kwa niaba yake.
# Uso wa mfalme
Hii inamrejerea mfalme.
# Aliinama chini mbele ya mfalme hadi kwenye ardhi
Absalomu anaonesha heshima kwa mfalme.
# Mfalme akambusu Absalomu
Hii inamaanisha kwamba mfalme alisamehe na kumrudisha Absalomu.