# Tazama Neno hili limetumika hapa kama usemi kusisitiza, na kuthibitisha kinachosemwa baada ya hapa. # Nilituma neno Hii inamaana alituma mjumbe. # Kwa mfalme kusema Ujumbe kwa mfalme hapa umeandikwa kama Absalomu ndiye alikuwa mzungumzaji. Absalomu alikuwa akimwomba Yoabu kusema ujumbe kwa niaba yake. # Uso wa mfalme Hii inamrejerea mfalme. # Aliinama chini mbele ya mfalme hadi kwenye ardhi Absalomu anaonesha heshima kwa mfalme. # Mfalme akambusu Absalomu Hii inamaanisha kwamba mfalme alisamehe na kumrudisha Absalomu.