sw_tn/2sa/14/28.md

16 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Uso wa mfalme
Hii inamaansisha mfalme.
# Absalomu akatuma neno kwa Yoabu
Hii inamaanisha kwamba alittuma mjumbe kwa Yoabu akiwa na ombi.
# Kumpeleka kwa mfalme
Inaoneshwa kwamba Absalomu alimtaka Yoabu kuja kwake ili amwone na kuingilia kati ili aweze kumwona mfalme.
# Hivyo Absalomu akatuma neno mara ya pili
Hii inamaanisha kwamba alituma tena mjumbe kwa Yoabu akiwa na ombi lilelile.