# Uso wa mfalme Hii inamaansisha mfalme. # Absalomu akatuma neno kwa Yoabu Hii inamaanisha kwamba alittuma mjumbe kwa Yoabu akiwa na ombi. # Kumpeleka kwa mfalme Inaoneshwa kwamba Absalomu alimtaka Yoabu kuja kwake ili amwone na kuingilia kati ili aweze kumwona mfalme. # Hivyo Absalomu akatuma neno mara ya pili Hii inamaanisha kwamba alituma tena mjumbe kwa Yoabu akiwa na ombi lilelile.