sw_tn/2sa/14/25.md

24 lines
719 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi
"Basi" inaonesha badiliko katika habari kuu. Hapa Samweli anatoa sehemu nyingine ya habari.
# Hakukuwa na mtu katika Israeli aliyesifiwa kwa uzuri kama Absalomu
Watu walimsifu Absalomu kwa uzuri wake wa sura kuliko walivyomsifu mwingine yeyote.
# Kutoka katika wayo wa mguu wake hadi katika utosi wake hakuwa na waa lolote
Hii inamaanisha kwamba hakuwa na kasoro.
# shekeli mia mbili
Katika vipimo vya sasa ni sawa na "kilo mbili na nusu"
# Kwa kiwango cha kipimo cha mfalme
Mfalme alikuwa na kipimo kilichoamua kiwango cha uzito wa shekeli, uzito mwingine na vipimo vingine.
# Walizaliwa kwa Absalomu wana watatu na binti mmoja
Inamaanisha Absalomu alikuwa na watoto watatu wa kiume na binti mmoja.