sw_tn/2sa/14/18.md

28 lines
984 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tafadhari usinifiche neno lolote nikuulizalo
Muundo wa kinyume umetumika hapa ili kusisitiza na unaweza kuelelezwa kwa muundo chanya. Yaani "tafadhari niambie ukweli kuhusu lolote ninalokuuliza"
# Je si mkono wa Yoabu uliopamoja nawe katika hili
Hapa neno "mkono" linaonesha ushawishi wa Yoabu.
# Kama uishivyo
"Hakika kama uishivyo." Hapa mwanamke analinganisha uhakika wa alichokisema Daudi amesema kwa hakika kwamba anaishi, ili kusisitiza jinsi taarifa ilivyo ya kweli
# Hakuna awezaye kuelekea mkono wa kulia... mfalme alivyosema
Hapa mwanamke anaeleza ugumu wa kuongea na mfalme na kumficha asigundue ukweli kwa kulinganisha na mtu asivyoweza kuelekea upande wowote.
# Mkono wa kulia au wa kushoto
Taarifa inatoa milengo miwili na inamaanisha "popote."
# Bwana wangu ni mwelevu
Bwana wangu mfalme ni mwenye hekima"
# Ni mwenye hekima, kama hekima ya malaika wa Mungu
Mwanamke analinganisha hekima ya Daudi na ya malaika kusisitiza jinsi alivyo mwenye hekima.