sw_tn/2sa/14/07.md

32 lines
806 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ukoo wote
"familia yangu yote"
# Mtumishi wako
Mwanamke anatumia jina hili kuonesha heshima yake kwa mfalme
# Kumwua
Hii inamaanisha kuua
# Wangemwaribu na mrithi pia
Ikiwa wangemwua na ndugu mkosaji kusingekuwa na mwana aliyesalia kurithi mali ya familia.
# Hivyo wangelizima hata kaa liwakalo lililosalia
Hapa mwanamke anarejerea kwa mwana pekee aliyesalia kama kaa liwakalo. Anazungumzia mtu kumwua mwanawe kama kulizima kaa liwakalo.
# Hawatamwachia mme wangu siyo jina wala mzao
Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya.
# Siyo jina wala mzao
Hii inahusu mwna kubeba jina la familia kwa kizazi kijacho.
# juu ya uso wa nchi
"juu ya nchi." Kifungu hiki kinasisitiza familia isingeendelea kuwepo baada ya mme kufariki. "juu ya nchi" inamaanisha juu ya ardhi ambapo watu wanatembea.