# ukoo wote "familia yangu yote" # Mtumishi wako Mwanamke anatumia jina hili kuonesha heshima yake kwa mfalme # Kumwua Hii inamaanisha kuua # Wangemwaribu na mrithi pia Ikiwa wangemwua na ndugu mkosaji kusingekuwa na mwana aliyesalia kurithi mali ya familia. # Hivyo wangelizima hata kaa liwakalo lililosalia Hapa mwanamke anarejerea kwa mwana pekee aliyesalia kama kaa liwakalo. Anazungumzia mtu kumwua mwanawe kama kulizima kaa liwakalo. # Hawatamwachia mme wangu siyo jina wala mzao Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. # Siyo jina wala mzao Hii inahusu mwna kubeba jina la familia kwa kizazi kijacho. # juu ya uso wa nchi "juu ya nchi." Kifungu hiki kinasisitiza familia isingeendelea kuwepo baada ya mme kufariki. "juu ya nchi" inamaanisha juu ya ardhi ambapo watu wanatembea.