sw_tn/2sa/13/25.md

8 lines
247 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tafadhari mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi
Mwana mkuu alimwakilisha baba yake katika utamaduni wa Kiisraeli. Amnoni alikuwa mwana mkuu wa Daudi.
# Kwa nini Amnoni aende nanyi?
Daudi alifahamu kwamba Absalomu na Amnoni hawakuwa marafiki.