# Tafadhari mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi Mwana mkuu alimwakilisha baba yake katika utamaduni wa Kiisraeli. Amnoni alikuwa mwana mkuu wa Daudi. # Kwa nini Amnoni aende nanyi? Daudi alifahamu kwamba Absalomu na Amnoni hawakuwa marafiki.