sw_tn/2sa/13/13.md

12 lines
333 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Tamari anaendelea kuongea na Amnoni
# Ningeenda wapi kujiepusha na aibu ambayo ingewekwa juu yangu maishani?
Tamari anauliza swali hili kusisitiza kiasi gani angeona aibu kama atalala naye.
# Kujiepusha na aibu hii.
Tamari anazungumzia kuondoa aibu yake kama vile ingekuwa adui au mtesaji aliyetaka kumkwepa.