# Maelezo ya Jumla Tamari anaendelea kuongea na Amnoni # Ningeenda wapi kujiepusha na aibu ambayo ingewekwa juu yangu maishani? Tamari anauliza swali hili kusisitiza kiasi gani angeona aibu kama atalala naye. # Kujiepusha na aibu hii. Tamari anazungumzia kuondoa aibu yake kama vile ingekuwa adui au mtesaji aliyetaka kumkwepa.