sw_tn/2sa/13/07.md

20 lines
339 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Daudi akatuma neno
Hii inamaanisha kwamba alituma mjumbe kuongea na Tamari
# Donge
Mchanganyiko wa unga na maji unaotumika kwa kuokea.
# Kuukanda
Kutumia mikono kulichanganya donge
# mbele yake
Hii inamaanisha kwamba Tamari alitengeneza mkate mbele ya Amnoni.
# Hivyo kila mtu akatoka
"Kutoka nje kwa mtu" inamaanisha kuwaacha.