sw_tn/2sa/12/26.md

32 lines
753 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yoabu akapigana... akaukamata
Hapa mwandishi anasema "Yoabu" lakini anarejerea kwa Yoabu na askari waliopigana pamoja naye.
# Raba
Kupigana dhidi ya mji hu, halisia inamaanisha kupigana dhidi ya watu wa Raba.
# Hivyo Yoabu akatuma wajumbe kwa Daudi na kusema
"Hivyo Yoabu akatuma wajumbe kwa Daudi kumwambia"
# Wamechukua sehemu ya kusambaza maji mjini
"Kukamata" eneo inamaanisha kuchukua umilki.
# Kupiga kambi kinyume
Hii inamaanisha kuzunguka na kushambulia.
# Nimepigana... nimekamata... ikiwa nitachukua
Hapa Yoabu anajisemea mwenyewe wakati halisia anarejerea kwake na askari wake.
# Uchukue... chukua mji
"Kuchukua" eneo inamaanisha kuchukua umilki.
# Utaitwa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. Yaani "watu watauita"