sw_tn/2sa/12/09.md

20 lines
763 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivyo kwa nini umedharau... Yahwe, hata kufanya maovu mbele zake?
Swali hili linatumika kumkemea Daudi. Yaani "haukupaswa kumdharau ... Yahwe na kufanya yaliyomaovu mbele zake!"
# Hata kufanya yaliyomaovu mbele zake
"Mbele" ya Yahwe inarejea kwa kile anachofikiri. Hii inazungumzia anachohesabu kuwa uovu halisi.
# Umemwua Uria Mhiti kwa upanga
Daudi hakumwua Uria kwa mkono wake, bali alipanga Uria alivyouawa. Kifungu "kwa upanga" kinaonesha jinsi alivyokufa vitani.
# Ulimwua kwa upanga wa jeshi la Amoni
Inaonesha kwamba Daudi hakumwua kwa mkono wake bali alipanga jinsi ya kuuawa kwa Uria mkononi mwa Waamoni.
# Upanga hautaondoka nyumbani mwako
Hapa neno "upanga" linaonesha watu wanaokufa vitani. "Nyumba" ya Daudi inarejerea wazawa wake.