sw_tn/2sa/12/04.md

32 lines
663 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtamba wa kondoo
Kondoo jike
# Hasira ya Daudi ikawaka kinyume cha
Hapa mwandishi anaeleza jinsi Daudi alikuwa na hasira sana kama vile mwili wake ulikuwa umechemka kwa sababu ya hasira.
# Mgeni wake
Ilikuwa ni kwa ajili ya chakula cha mgeni wake
# Akamwambia Nathani kwa hasira
Hii inamaanisha kwamba Daudi aliongea na Nathani kwa hasira.
# Kama Yahwe aishivyo
Hii inaeleza kwamba Daudi alikuwa akiapa kiapo au ahadi ya kuaminika.
# Kumwua
Hii inamaanisha kumwua. Yaani kufa
# Anapaswa kulipa kondoo mara nne
Kiasi tajiri alichopaswa kulipa kilikuwa mara nne ya thamani ya kondoo.
# Huruma
Kujisikia huzuni na upendo kwa anayeumia au kutopendwa