# Mtamba wa kondoo Kondoo jike # Hasira ya Daudi ikawaka kinyume cha Hapa mwandishi anaeleza jinsi Daudi alikuwa na hasira sana kama vile mwili wake ulikuwa umechemka kwa sababu ya hasira. # Mgeni wake Ilikuwa ni kwa ajili ya chakula cha mgeni wake # Akamwambia Nathani kwa hasira Hii inamaanisha kwamba Daudi aliongea na Nathani kwa hasira. # Kama Yahwe aishivyo Hii inaeleza kwamba Daudi alikuwa akiapa kiapo au ahadi ya kuaminika. # Kumwua Hii inamaanisha kumwua. Yaani kufa # Anapaswa kulipa kondoo mara nne Kiasi tajiri alichopaswa kulipa kilikuwa mara nne ya thamani ya kondoo. # Huruma Kujisikia huzuni na upendo kwa anayeumia au kutopendwa