sw_tn/2sa/11/16.md

12 lines
369 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuhusuru mji
Neno "kuhusuru" linaweza kuelezwa kwa kitendo "kuzingira" na "kushambulia". Yaani "jeshi lake lilizunguka na kuushambulia mki"
# baadi ya askari wa Daudi walianguka
Neno "anguka" ni usemi laini wa kuonesha askari waliouawa. Yaani "baadhi ya askari wa Daudi waliuawa.
# Na Uria Mhiti aliuawa pale
Inamaanisha "Uria Mhiti naye alikuwa miongoni mwao.