# Kuhusuru mji Neno "kuhusuru" linaweza kuelezwa kwa kitendo "kuzingira" na "kushambulia". Yaani "jeshi lake lilizunguka na kuushambulia mki" # baadi ya askari wa Daudi walianguka Neno "anguka" ni usemi laini wa kuonesha askari waliouawa. Yaani "baadhi ya askari wa Daudi waliuawa. # Na Uria Mhiti aliuawa pale Inamaanisha "Uria Mhiti naye alikuwa miongoni mwao.