sw_tn/2sa/11/04.md

16 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hezi
Kipindi cha mwanamke cha mwezi
# na kumchukua
"na kumchukua." Daudi alimchukua mwanamke, lakini alikuwa mjumbe aliyekuwa ametumwa aliyemchukuwa na kumleta kwa Daudi.
# Akaja kwake ndani, naye akalala naye
Kifungu "alikuja kwake ndani" inaonesha hali ya Daudi kufanya tendo la ndoa na mwanamke.
# Alituma na kumwambia Daudi; akasema, "Niko mjamzito"
Hapa neno "alipeleka" linamaanisha kwamba alipeleka mjumbe kumwambia Daudi kwamba alikuwa mjamzito.