# Hezi Kipindi cha mwanamke cha mwezi # na kumchukua "na kumchukua." Daudi alimchukua mwanamke, lakini alikuwa mjumbe aliyekuwa ametumwa aliyemchukuwa na kumleta kwa Daudi. # Akaja kwake ndani, naye akalala naye Kifungu "alikuja kwake ndani" inaonesha hali ya Daudi kufanya tendo la ndoa na mwanamke. # Alituma na kumwambia Daudi; akasema, "Niko mjamzito" Hapa neno "alipeleka" linamaanisha kwamba alipeleka mjumbe kumwambia Daudi kwamba alikuwa mjamzito.