sw_tn/2sa/09/05.md

16 lines
287 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mfalme Daudi akatuma
Inafahamika kwamba Daudi alituma wajumbe.
# Mefiboshethi
Hili ni jina la mwanaume
# alikuja kwa Daudi
Neno "alikuja" laweza fasiriwa kuwa "alikwenda."
# Mimi ni mtumishi wako
Mefiboshethi anajirejerea kama "mtumishi wako" kuonesha heshima kubwa kwa mfalme.