sw_tn/2sa/06/18.md

8 lines
239 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliwabariki watu kwa jina la Yahwe wa majeshi
Kubariki "katika jina la Yahwe wa majeshi" inamaanisha kubariki kwa nguvu na mamalaka ya Yahwe, au kama mwakilishi wake.
# keki ya zabibu kavu
mkate mtamu uliookwa kutokana na zabibu kavu