# aliwabariki watu kwa jina la Yahwe wa majeshi Kubariki "katika jina la Yahwe wa majeshi" inamaanisha kubariki kwa nguvu na mamalaka ya Yahwe, au kama mwakilishi wake. # keki ya zabibu kavu mkate mtamu uliookwa kutokana na zabibu kavu