sw_tn/2sa/03/37.md

16 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je hamjui kwamba mtu mkuu ameanguka leo hii katika Israeli?
Swali hili lisilodai jibu limetumika kuonesha jinsi Daudi alivyomweshimu Abneri. Hapa "kuanguka"ni neno linalomaanisha "kifo". Inaweza kutafsiriwa kama taarifa. Yaani: Ni wazi kwamba mtu mkuu amekufa leo katika Israeli!"
# mwana mfalme na mtu mkuu
Vifungu hivi viwili vyote vinamrejerea Abneri.
# Neri...Seruya
Haya ni majina ya wanaume.
# ukatili
"bila huruma"