# Je hamjui kwamba mtu mkuu ameanguka leo hii katika Israeli? Swali hili lisilodai jibu limetumika kuonesha jinsi Daudi alivyomweshimu Abneri. Hapa "kuanguka"ni neno linalomaanisha "kifo". Inaweza kutafsiriwa kama taarifa. Yaani: Ni wazi kwamba mtu mkuu amekufa leo katika Israeli!" # mwana mfalme na mtu mkuu Vifungu hivi viwili vyote vinamrejerea Abneri. # Neri...Seruya Haya ni majina ya wanaume. # ukatili "bila huruma"