sw_tn/2sa/01/11.md

16 lines
537 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Daudi akararua mavazi yake... watu waliokuwa pamoja naye wakafanya vilevile
Daudi na watu wake walirarua mavazi yao kama ishara ya kuomboleza kwa ajili ya Mfalme Sauli.
# alikuwa ameanguka
Hii inamaanisha "alikuwa ameuawa."
# Kwa upanga
Hapa upanga unahusianishwa na vita, yaweza kumaanisha "katika magwanda ya kijeshi"
# Unatoka wapi?
Yule mtu alikuwa amekwisha eleza kuwa yeye ni Mwamaleki katika 1:8. Bila shaka Daudi anamwuliza yule mtu kuthibitisha kwa sababu ya hukumu kali aliyokuwa anaelekea kuitamka juu ya mtu yule.