sw_tn/2sa/01/01.md

12 lines
387 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Siku ya tatu
"Baada ya siku tatu"
# Nguo zake zikiwazimeraruliwa na akiwa na vumbi juu ya kichwa chake
Katika utamaduni huu, mtu kurarua mavazi yake na kuweka vumbi kichwani pa mtu lilikuwa tendo la kuombolezo.
# Aliinamisha uso wake chini na kujifanya yeye mwenyewe kuwa si kitu
Hili lilikuwa ni tendo la kuonesha utii kwa Daudi, ambaye kwa wakati huo alikuwa mfalme wa Israeli.