# Siku ya tatu "Baada ya siku tatu" # Nguo zake zikiwazimeraruliwa na akiwa na vumbi juu ya kichwa chake Katika utamaduni huu, mtu kurarua mavazi yake na kuweka vumbi kichwani pa mtu lilikuwa tendo la kuombolezo. # Aliinamisha uso wake chini na kujifanya yeye mwenyewe kuwa si kitu Hili lilikuwa ni tendo la kuonesha utii kwa Daudi, ambaye kwa wakati huo alikuwa mfalme wa Israeli.