sw_tn/2pe/02/04.md

28 lines
832 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maana Mungu hakuwaacha malaika waliokengeuka
Hii inaanzisha Mpangilio wa sentensi zinazoanza na "kama"
# bali aliwatupa kuzimu ("Tartarus)
"Tartarus
# ili wafungwe minyororo mpaka hukumu itakapowajilia
Mungu atawaweka katika gereza wakisubiri hukumu ya mwisho
# Wala Mungu hakuuvumilia ulimwengu wa zamani...wakati alipoachilia gharika juu yaulimwengu ulioasi
Mungu aliuhribu ulimwengu wa zamani na watu waasi kwa gharika
# Mungu aliihukumu miji ya Sodoma na Gomorra kiasi cha kuwa majivu
Mungu alitumia moto kuwaharibu watu wasi mcha Yeye katika miji ya Sodoma na Gomora
# bali alimhifadhi Nuhu
Mungu alimwokoa mtu wa haki Nuhu katika gharika
# ili iwe mfano kwa ajili ya watu waovu katika siku za usoni
kama vile Sodoma na Gomora ilivyoharibiwa kwa moto katika siku za usoni Mungu atawaharibu katika ziwa la moto.