sw_tn/2pe/01/08.md

16 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mambo haya
haya mambo ni:- imani, uzuri, maarifa, kiasi, uvumilivu, utauw, upendo wa ndugu, na upendo.
# "Ninyi hamtakuwa tasa au msiozaa matunda"
mtazaa matunda
# yeyote asiyekuwa na mambo haya
mtu yeyote asiyekuwa na mambo haya
# huyaona mabo ya karibu tu, yeye ni kipofu
usemi huu unamfananisha mtu anayefikiria mambo ya duniani tu kuwa yako vizuri mbele yake, kama mtu asiye na macho.