sw_tn/2jn/01/12.md

16 lines
608 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yohana anamalizia barua yake kwa kuonyesha shauku ya kuwatembelea na anatoa salamu kutoka kanisa jingine
# Maelezo ya Jumla
Maneno "kwako" yanaonyesha umoja katika mstari wa 12. Neno "yenu" linaonyesha wingi mstari wa 13
# sikutaka kuyaandika kwa karatasi na wino
Yohana hakutaka kuyaandika mambo mengi lakini alitaka kuja kuongea nao ana kwa ana.
# Watoto wa dada yenu mteule
Yohana anazungumza habari ya kanisa jingine kana kwamba ni dada kwa kanisa analowaandikia na waumini wa kanisa hilo anawafananisha na watoto. Hapa inasisistiza kwamba waumini wote ni familia ya kiroho.